tag:blogger.com,1999:blog-6287184601762967547.post4275484041642482151..comments2022-10-19T15:30:12.768-07:00Comments on NASAHA ZETU: CHAMA CHA HIZB UT-TAHRIRFikra Nasahahttp://www.blogger.com/profile/05722732360020026057noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-6287184601762967547.post-72771471448248086542016-02-02T04:16:10.478-08:002016-02-02T04:16:10.478-08:00Tunashukuru sana kwa kutembelea blog yetu na pia t...Tunashukuru sana kwa kutembelea blog yetu na pia tunashukuru tena kwa wewe kuweza kutoa mawazo na nasaha zako.

Hii inaonyesha kuwa wamiliki wa blog wanatoa uhuru kamili kwa wachangiaji wa makala zao bila kificho au upendeleo wowote ule.

Pili kutumia lakab si jambo lenye kukatazwa kwenye Uislamu na kila mtu anao uhuru wa kutumia lakab aipendao mradi tu, isiwe nje ya mipaka ya Uislam.

Tatu, Ulipaswa wewe ukiwa kama mtetezi wa chama cha kisiasa cha Hizb ut-tahrir, kujibu huja juu ya huja kwa kila huja iliyoko kwenye makala hii, lakini kwa sababu zako binafsi ukuweza kujibu huja hata moja zaidi ya kulalamika.

Basi ni bora ukawa na huja kulingana na makala hii ili wasomaji wengine wapate kufaidika.

Shukra, ndugu zenu katika UislamAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6287184601762967547.post-3047860954412883612016-01-13T11:53:53.925-08:002016-01-13T11:53:53.925-08:00KICHWA CHA BLOG NI "TUPEANE NASAHA KWA MUJIBU...KICHWA CHA BLOG NI "TUPEANE NASAHA KWA MUJIBU WA DINI YETU" BILASHKA NI DINI YA UISLAM.

KWANINI ALIYETUMA POST HATUMII JINA LAKE SAHIHI, KWANINI HATOI DALILI YA HOJA ZAKE KWAMBA MUISLAM HIZB KAKOSEA KWA DALILI KADHAA ZA KISHERIA NA USAHIHI WAKE NI HUU. IWAPO WANALINGANIA MAKAFIRI WASILIMU BASI NIAWLA ZAIDI KUWALINGANIA NDUGU ZAKE WAISLAM WAFUATE VIZURI MSTARI ALIOUCHORA MTUME SAW.

MEDIA NIMUHIMU SANA KATIKA KULINGANIA NA MUHIMU ZAIDI NI MLINGANIZI KUWA NA IKHLAS.

JE YEYE KATIKA DA'AWAH ANAYOFANYA LENGO MSINGI NININI NA KWADALILI ZIPI, NA LINATOFAUTIGANI NA HIZB.

HAKIKA TUNAMPENDA MTUME SAW LAKINI NAONA NIWACHACHE SANA WANAOJUA KWAMBA KUMFUATA NIKATIKA IBADATI, FARADHI KISHERIA.HARSO SHELEZIhttps://www.blogger.com/profile/02228923632941925941noreply@blogger.com