Assalamu Alaikum Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuh

Nasaha Zetu ni blog kwa ajili ya kupeana NASAHA njema kwa kila Muislam, Madhumuni ya blog hii ni kujadiri mustakabari mzima wa maisha ya Muislam kwa ujumla, kuanzia iymaan, Fiqh, Aqida yaliyo Faradhi na Sunnah na hata Siasa, Uchumi, Michezo, na yale yote yanayojiri katika mitaa yetu na kwenye vyombo vya habari kwa ujumla.

Kama unaweza kutuma Makala ambayo itawasaidia Waislam, kuujuwa Uislam wao na wakarejea kwenye Uislam wa kweli, basi usisite kututumia kupitia Barua pepe...
Nasaha Islam Barua Pepe

0 comments:

Post a Comment

Je Una Nasaha zozote Kuhusiana na Makala hii?

RAMADHAN KARIM

Read

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!